Search

19 results for Bertha Mollel :

  1. Kanisa lafungwa kisa mgogoro wa ardhi, waumini KKAM wasali nje

    Eneo la kanisa hilo lilizungushiwa mabati wiki iliyopita na mtu anayetajwa kuwa mmiliki wa eneo hilo, baada ya kushinda kesi.

  2. PRIME Wazazi wasimulia walivyopoteza watoto wa pekee ajali ya Arusha

    Familia mbili kila moja yapoteza watoto wawili wa pekee.

  3. Hatua kwa hatua mafuriko Arusha

    Mvua kubwa iliyonyesha takribani saa 12 zilizopita katika maeneo mbalimbali mkoani Arusha, imesababisha athari kwa wananchi ikiwemo mazao kusombwa na maji, nyumba na maduka na stoo za...

  4. Simanzi tupu mapokezi ya Lowassa

    Nyuso za majonzi zilitawala na machozi kuwatoka wanakijiji wa eneo hilo, pale walipoona msafara na hasa gari lililobeba mwili wa Lowassa likipita

  5. Wakulima Arumeru wageukia pareto

    Wakulima wengi kwa Kisimiri Juu wilayani Arumeru wanadaiwa kujihusisha na kilimo cha dawa za kulevya aina ya bangi, hivyo uamuzi wa kupewa miche hiyo ya pareto ni katika kupunguza kilimo kama...

  6. Dk Mpango amtabiria mtoto kukalia kiti cha Makamu wa Rais

    Dk Mpango amesema kwa kuwa mtoto huyo amezaliwa akiwa anazindua kituo hicho na amepewa jina lake atakuwa ni mrithi wa wadhifa wake wa Makamu wa Rais miaka ijayo.

  7. Wazee wawili matatani kwa tuhuma za ubakaji

    Jeshi la polisi Mkoa wa Arusha linawashilikilia wazee wawili wilayani Arumeru kwa tuhuma za ubakaji.

  8. Ugonjwa wa kuhara wazua hofu Arusha

    Hofu kubwa imetanda jijini Arusha baada ya kuenea kwa ugonjwa unaosabisha watu kuharisha huku uchafu wa mazingira ukidaiwa kuwa kuwa chanzo.

  9. Wagoma kuzika, washinikiza uchunguzi ufanyike

    Mwili wa marehemu Mariam Bruno (34), Mkazi wa Olasiti, jijini Arusha, umeendelea kubaki katika chumba cha kuhifadhia maiti, katika Hospital ya Rufaa Mount Meru, baada ya ndugu zake kugomea...

  10. Auawa kwa kujaribu kuiba piki piki

    Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Ludovic Augustino Mollel (28-30) mkazi wa Lemara, jijini Arusha ameuawa na wananchi wenye hasira kali, kwa kile kilichodaiwa ni jaribio la kuiba pikipiki...

Page 1 of 2

Next